(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Hahahha da'Yasinta Waswahili na Ngoma inapolia bwana ni habari nyingine sana!!!!!@Kaka wa Mimi kumbe nawe Unawza kwa sauti!!!! @Mwanakwetu da'Edna tehteh kama umestuka hivi, huamini nini kama Zanzibar kuna mambo hayo,Ulifikiri Taaarab tuu?
hakuna watu wasio na aibu kwa kucheza mziki kama waswahili...sijui tumeumbwa kimziki mziki?
ReplyDeleteKisikitishacho ni madai kuna dansi hata ukiwauliza Wazanzibar wanadai wamwisho kujua dansi hiyo kasha enda kwa MOLA!:-(
ReplyDeleteHeee hiyo dansi nimeipenda.
ReplyDeleteHahahha da'Yasinta Waswahili na Ngoma inapolia bwana ni habari nyingine sana!!!!!@Kaka wa Mimi kumbe nawe Unawza kwa sauti!!!!
ReplyDelete@Mwanakwetu da'Edna tehteh kama umestuka hivi, huamini nini kama Zanzibar kuna mambo hayo,Ulifikiri Taaarab tuu?
Mubarikiwe sana!!!