(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
wapendwa inaonekana mlikuwa na wakati mzuri sana jamani nimekosa nilialikwa nikaambiwa eti kiingilio upendo wa kweli Mwenyezi Mungu awajalie sana wapendwa pamoja wakati wote
Ahsante sana Wapendwa, Mungu awabariki wote,kweli tulikuwa na wakati mzuri sana, kucheka,kuongea,kucheza,kutaniana,kukumbushana ya zamani na mengine mengi sana,Nivyema wakati mwingine kuchanganyana na watu tofauti.Mungu ni Pendo.........
wapendwa inaonekana mlikuwa na wakati mzuri sana jamani nimekosa nilialikwa nikaambiwa eti kiingilio upendo wa kweli Mwenyezi Mungu awajalie sana wapendwa pamoja wakati wote
ReplyDeleteNi vizuri ndugu wakikutanika wakala na kufurahi pamoja, nawatakia wote mwaka mpya wenye heri na mafaniko tele.
ReplyDeleteInapendeza kwa kweli na kweli inaonekana mlikuwa na wakati mzuri kweli...
ReplyDeleteHongereni na mlipendeza kwelikweli
ReplyDeleteAhsante sana Wapendwa, Mungu awabariki wote,kweli tulikuwa na wakati mzuri sana, kucheka,kuongea,kucheza,kutaniana,kukumbushana ya zamani na mengine mengi sana,Nivyema wakati mwingine kuchanganyana na watu tofauti.Mungu ni Pendo.........
ReplyDelete