Tuesday, 3 January 2012

Waswahili na Maisha yao -Coventry Swahili Party/Mwaka Mpya[part-1]!!!
























5 comments:

  1. wapendwa inaonekana mlikuwa na wakati mzuri sana jamani nimekosa nilialikwa nikaambiwa eti kiingilio upendo wa kweli Mwenyezi Mungu awajalie sana wapendwa pamoja wakati wote

    ReplyDelete
  2. Ni vizuri ndugu wakikutanika wakala na kufurahi pamoja, nawatakia wote mwaka mpya wenye heri na mafaniko tele.

    ReplyDelete
  3. Inapendeza kwa kweli na kweli inaonekana mlikuwa na wakati mzuri kweli...

    ReplyDelete
  4. Hongereni na mlipendeza kwelikweli

    ReplyDelete
  5. Ahsante sana Wapendwa, Mungu awabariki wote,kweli tulikuwa na wakati mzuri sana, kucheka,kuongea,kucheza,kutaniana,kukumbushana ya zamani na mengine mengi sana,Nivyema wakati mwingine kuchanganyana na watu tofauti.Mungu ni Pendo.........

    ReplyDelete