Siku kama ya Leo miaka kadhaa iliyopita,Da'Nancy Bibi ya Nyotu Alizaliwa!!!
Tunakutakia kila la kheri na baraka katika maisha yako,Mungu azidi kukubariki sana,
Upendo,Utu wema,Fadhili,Busara,Ucheshi na Mengine mengi Mungu amekujalia dada Nancy.
Wewe ni Rafiki wa nyakati zote kwa shida na Raha,Kupitia wewe nimejifunza meeengi sana sana.
Uwe na wakati mwema kila iitwapo Leo.
Familia ya Isaac Tunakupendaaa na kukuthani sanasana sana.
Mungu awe nasi Daima.

HAPPY BIRTHDAY DA NANCY
ReplyDeleteHappy birthday mdada.
ReplyDeleteHONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA DA`NANCY!
ReplyDeleteHAPPY BIRTHDAY TO YOU (NANCY )!
ReplyDeleteNimechelewa kidogo lakini: HAPPY BIRTHDAY NANCY!
ReplyDeleteAhsante sana kwa dua/sala zenu, kwa niaba ya Nyotu Family.
ReplyDelete