Sunday, 22 January 2012

Nawatakia J'pili Njema,Pata kibao-Bwana Yesu Nakupenda!!!!!!

4 comments:

  1. Domika yabwina wa mdala veve! bwana Yesu nakupenda...kweli watu wamebarikiwa kwa sauti...

    ReplyDelete
  2. Dada,Rachel shukrani kwa wimbo mtamu kama bigiji. kaka s.

    ReplyDelete
  3. Ubarikiwe mpendwa kwa kusababishia jumapili ya leo kuwa nzuri sana kwangu huwezi jua maneno ya huu wimbo yalivyo hamsha hisia za kumsifu Mungu siku ya leo yaani nimeusikiliza zaidi ya mara kumi na kumchezea Yesu kwa furaha jumapili njema na kwako pia

    ReplyDelete
  4. Mbarikiwe sana sana wapendwa!!!!

    ReplyDelete