(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Ubarikiwe mpendwa kwa kusababishia jumapili ya leo kuwa nzuri sana kwangu huwezi jua maneno ya huu wimbo yalivyo hamsha hisia za kumsifu Mungu siku ya leo yaani nimeusikiliza zaidi ya mara kumi na kumchezea Yesu kwa furaha jumapili njema na kwako pia
Domika yabwina wa mdala veve! bwana Yesu nakupenda...kweli watu wamebarikiwa kwa sauti...
ReplyDeleteDada,Rachel shukrani kwa wimbo mtamu kama bigiji. kaka s.
ReplyDeleteUbarikiwe mpendwa kwa kusababishia jumapili ya leo kuwa nzuri sana kwangu huwezi jua maneno ya huu wimbo yalivyo hamsha hisia za kumsifu Mungu siku ya leo yaani nimeusikiliza zaidi ya mara kumi na kumchezea Yesu kwa furaha jumapili njema na kwako pia
ReplyDeleteMbarikiwe sana sana wapendwa!!!!
ReplyDelete