(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Ameeen da'yasinta!@kaka Manyanya pole sana hakuna maelezo sana yapo machache na picha ndiyo nyingi ingia kwa VIJIMAMBO,hapo pembeni utaipata blog yake.Muwe na wakati mwema wapendwa!!!!!!!
kwa kweli inapendeza kusikia na kuona maana wengi wanafikiri inawezekana kufanya hivyo nyumbani Tz tu. Mungu awabariki sana ndugu zangu.
ReplyDeleteLa! Ningefurahi zaidi kusoma zidi badala ya kusikiliza hayo mambo ya Colombus.
ReplyDeleteUkweli ni kwamba sinazo GIG za kutosha kuangalia VIDEO.
Hata hivyo, nawapa hongera sana Waswahili wanapokumbuka Uswahili wao.
Mwaka 2012 uwe mwaka wa msukumo mkali wa Muungano wa Afrika!
Ameeen da'yasinta!@kaka Manyanya pole sana hakuna maelezo sana yapo machache na picha ndiyo nyingi ingia kwa VIJIMAMBO,hapo pembeni utaipata blog yake.Muwe na wakati mwema wapendwa!!!!!!!
ReplyDeleteasante!
ReplyDelete