(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Hivi kwa nini hizi sherehe zisisherehekewe na wote? kwa nini wengine wanakaa kwa heshima na wengine wanacheza au imba na huko vijijini je inakuwaje?
Kweli da'Yasinta si Waswahili wanasema CHEREKO CHEREKO NA MWENYE MWANA? MBONA WENYE MWANA WAMEKAA? Wote wangekuwa na vibwebwe@Nimependa hapo kwako wewe uliyewaletea huo Utanganyika uko mbele nao wamekuunga mkono!
Hivi kwa nini hizi sherehe zisisherehekewe na wote? kwa nini wengine wanakaa kwa heshima na wengine wanacheza au imba na huko vijijini je inakuwaje?
ReplyDeleteKweli da'Yasinta si Waswahili wanasema CHEREKO CHEREKO NA MWENYE MWANA? MBONA WENYE MWANA WAMEKAA? Wote wangekuwa na vibwebwe@
ReplyDeleteNimependa hapo kwako wewe uliyewaletea huo Utanganyika uko mbele nao wamekuunga mkono!