(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Habari hii inasikitisha sana,Pole sana wazazi/walezi , ndugu,jamaa na marafiki, kwa Msiba huu mzito kweni,Mungu awape Nguvu na Uvumilivu katika wakati huu mgumu kwenu. Habari na picha zaidi utazipata kwa MASHUGHULI BLOG.Ahsante.
Human beings are OVER RATED...Siye twaweza kuwa wanyama hatari kabisa kuliko wanyama wengine wote....
ReplyDeleteRIP malaika wa Mungu usiye na kosa. Mungu Akupe pumziko jema....
============>
Nilikuwa napita hapa kusema kwamba sasa nimerudi tena rasmi. Tupo pamoja !!!
http://matondo.blogspot.com/2011/12/wanablogu-wenzangu-na-wapenzi-wote-wa.html
Kwa kweli inasikitisha sana watu kweli tu-wakatili . Malaika kama huyu jamani pole sana wazazi, ndugu na jamaa wote.
ReplyDeleteduh kweli kibongo bongo kiboko mungu awanusuru watoto wetu bongo
ReplyDeleteInasikitisha, Mungu atulindie watoto wetu kwa kweli.
ReplyDelete