(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Aaahh... Burudani murua hii.. ahsante sana na wikiendi njema..
J.B. Mpiana! Na kweli, hela zao wanazipatia jasho hao. Asante, Mdogo wangu!
DadaR. mwenzio wacha ncheze pamoja nao..Ahsante kwa burudani
Hahahhaah dada wa mimi Yasinta nasi tunaungana nawe kusakata musiki!!!!@kaka Mrope sana nawe pia!@kaka Manyanya mazoezi,kazi,burudani pamoja!!Mbarikiwe sana wapendwa!!
Muke ya Mubena kumbe kaka Isaac naye yumo...Salimia yeye.
Hahahaha Madame Mija papaa Isaac yeye napenda sana Wengee!!nitampia yeye salam, siku moya ataonyeshea wewe vileyeye anachezagaaaa!Baraka kwako na familia dadake!
Hata mimi nawazimia hao.
Aaahh... Burudani murua hii.. ahsante sana na wikiendi njema..
ReplyDeleteJ.B. Mpiana! Na kweli, hela zao wanazipatia jasho hao. Asante, Mdogo wangu!
ReplyDeleteDadaR. mwenzio wacha ncheze pamoja nao..Ahsante kwa burudani
ReplyDeleteHahahhaah dada wa mimi Yasinta nasi tunaungana nawe kusakata musiki!!!!
ReplyDelete@kaka Mrope sana nawe pia!
@kaka Manyanya mazoezi,kazi,burudani pamoja!!
Mbarikiwe sana wapendwa!!
Muke ya Mubena kumbe kaka Isaac naye yumo...
ReplyDeleteSalimia yeye.
Hahahaha Madame Mija papaa Isaac yeye napenda sana Wengee!!nitampia yeye salam, siku moya ataonyeshea wewe vileyeye anachezagaaaa!
ReplyDeleteBaraka kwako na familia dadake!
Hata mimi nawazimia hao.
ReplyDelete