Saturday, 17 December 2011

Chaguo la Mswahili Leo ni Kaka Isaac,Ameomba-WENGE B.C.B.G.Baswahili hao!!!!!

7 comments:

  1. Aaahh... Burudani murua hii.. ahsante sana na wikiendi njema..

    ReplyDelete
  2. J.B. Mpiana! Na kweli, hela zao wanazipatia jasho hao. Asante, Mdogo wangu!

    ReplyDelete
  3. DadaR. mwenzio wacha ncheze pamoja nao..Ahsante kwa burudani

    ReplyDelete
  4. Hahahhaah dada wa mimi Yasinta nasi tunaungana nawe kusakata musiki!!!!
    @kaka Mrope sana nawe pia!

    @kaka Manyanya mazoezi,kazi,burudani pamoja!!

    Mbarikiwe sana wapendwa!!

    ReplyDelete
  5. Muke ya Mubena kumbe kaka Isaac naye yumo...

    Salimia yeye.

    ReplyDelete
  6. Hahahaha Madame Mija papaa Isaac yeye napenda sana Wengee!!nitampia yeye salam, siku moya ataonyeshea wewe vileyeye anachezagaaaa!

    Baraka kwako na familia dadake!

    ReplyDelete