(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Wapendwa kube nanyi mnapenda hizi za zamani,Ahsanteni sana watu wangu,@Da'Mijaaaaaa tehtehteh, @emu-3 pamoja ndugu wa mimi,@da'Yasinta siyo Kachiki? hahahaha mimi penda nyie sana!
Hapa umenifikisha "Muke ya Mubena"
ReplyDeleteBaraka kwako na yeyote atakayepitia hapa.
Tupo pamoja ndugu yangu, umenikumbusha mbaali ajabu
ReplyDeleteooohhh! Rachel umenikumbusha nilipokuwa kadala mama alikuwa akipenda kweli nyimbo hizi kwa hiyo nimezisikia tangu nanyonya. Ahsante.
ReplyDeleteWapendwa kube nanyi mnapenda hizi za zamani,Ahsanteni sana watu wangu,@Da'Mijaaaaaa tehtehteh, @emu-3 pamoja ndugu wa mimi,@da'Yasinta siyo Kachiki? hahahaha mimi penda nyie sana!
ReplyDelete