Friday, 11 November 2011

Nakutakia Ijumaa njema,pata Kitu cha Mawazo na Lady Jaydee,Haijalishi Mabaya au Mazuri!!

4 comments:

  1. kwako pia mdada,pia kawimbo kametulia.

    ReplyDelete
  2. Yaani Edna utadhani tulikaa pamoja na kusikiliza na tukasema tuseme hivyo yaani kawimbo kametulia haswaaaa...Jumamosi njema dada/sijui mdogo au mkubwa?,,kwikwikwiiiii

    ReplyDelete
  3. Asanteni sana Wapendwaa! da'Yasinta mi mkubwa bwanaaaaaaaaakwikwikwikwi!

    ReplyDelete