Tuesday, 4 October 2011

The history of Kanga by TAMWA ,Michuzi na da'Chemi nao Wamo!!!!

4 comments:

  1. Safi sana kuelewa historia hiyo ya kanga!

    Asante!

    ReplyDelete
  2. Kanga inamvutio wake kwa mwanababa; tafadhali usiniulize kivipi. Lakini Raisi wa Afrika Kusini aliweza kuvutiwa na vazi tu la kanga na kajikuta kitandani bila kizuizi dhidhi ya ukimwi. (Ila kusahihisha kidogo: "ni kabla hajawa Raisi")

    Na amini wanawake A. Kusini wanahitaji kanga, lakini hamna mfanyabiashara anaewaza kuanzisha biashara hiyo kwani cha Mswahili Bibi weee kinadharaurika kwa Mswahili mwenyewe!

    ReplyDelete
  3. Hahaahhahakaka Manyanya kweli kabisa, mwambie mama Tamara auze Kanga,watazoea tuu.

    ReplyDelete