Haya Mpedwa wewe umejiandaaje na Miaka 50 ya Uhuru?
Sikiliza hayo maneno ya Waswahili, Chura anapenda Maji lakini si ya Moto.
Watoto wa Kiswahili wanatimbwilika/kucheza.Tanzania Kiroho Safi!!!!!!
Je wewe una Amani, Uko Huru? Kila la Kheri.
Sikiliza hayo maneno ya Waswahili, Chura anapenda Maji lakini si ya Moto.
Watoto wa Kiswahili wanatimbwilika/kucheza.Tanzania Kiroho Safi!!!!!!
Je wewe una Amani, Uko Huru? Kila la Kheri.
Hahaha kweli bongo noma..huyo si aliimba ile DOGO MFAUME...Da rachel Siwa..
ReplyDeleteAnonymous Ndio huyo huyo Dogo Mfaume..Hahahaha..
ReplyDeleteSi mchezo...mapigo na uimbaji wao umenikumbusha ngoma moja inaitwa madogoli--Sijui kama kweli tunasonga mbele au tunarudi nyuma au tupo pale ple?...
ReplyDeleteBongo yetu ukichunguza utakuta mpaka Rais mwenyewe hayuko huru!:-(
ReplyDeleteAnonymous wa kwanza naona jibu la Anonymous wa pili linaweza kusaidia, maana mimi sina uhakika wangu, mbona hamajaniambia je ninyi mko huru na mmejiandaaje na uhuru?
ReplyDelete@da' Yasinta hata mimi nasikilizia jibu, kama tunakata mbuga au laa maana uhuru wake bwana unamashaka,nionavyo mimi.
@kaka Kitururu hahahahahahaa je wewe uko huru au sababu uko nje upo huru je ukirudi Bongo uhuru wa kweli au......
Ahsante mliochangia na tunaendelea na mawazo ya uhuru!!!!!!