(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Monday, 12 September 2011
Poleni Sana Ndugu Wa Kenya kwa Mlipuko wa Bomba la Mafuta!!!!!!!
Jamani hii nini sasa ni uzembe kwa sisi waafrika au nini kwa mkupua ajali mbili Mungu ibariki Afrika..
ReplyDeleteDa'Yasinta Mungu atubariki, pia nasi tujitahidi kupunguza hizi ajali.
ReplyDeletePoleni sana Ndugu zetu!
ReplyDeleteTuzidi kumwomba Mungu atuepushieni na mabalaa kama haya.
ReplyDelete