Thursday, 24 March 2011

MSIBA KWA FAMILIYA YA MZEE NGONYANI!!!!!!!!!


DADA  ASIFIWE NGONYANI HATUNAE TENA!!.









Mpendwa /Bloga wetu da Yasinta na Familiya ya Ngonyani,Wanasikitika kutangaza kifo cha Binti/dada yao mpendwa ASIFIWE NGONYANI.Kilichotokea tarehe 23/03/2011.Nyumbani Tanzania,kwa maelezo zaidi ingia www.Ruhuwiko.blogspot.com. kwa niaba yangu na familiya yangu na wapenzi/wafuatiliaji wote wa SwahilinaWaswahili, Tunaungana pamoja na Familiya ya Ngonyani katika wakati huu mgumu na kutoa pole zetu kwenu!!!SISI TULIMPENDA LAKINI MUNGU AMEMPENDA ZAIDI!!!.

4 comments:

  1. Pole sana Dada Yasinta na wanafamilia wote, yote ni mapenzi ya muumba .Yeye katangulia sisi tupo nyuma, kwani hapa duniani ni mapitio

    ReplyDelete
  2. mmm ahsante !
    Mija nawe ahsante!
    Rachel ahsante kwa ushirikiano wako. Ubarikiwe

    ReplyDelete