(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Kinachonitia wasiwasi UKULIMA wa PINDA hautoi changamoto kwa kuelimisha WAKULIMA jinsi ya kuendelea kwa kuwa anautumia kama SIASA kuonesha watu kuwa ni mtu wa kawaida kama Watanzania wengine kitu ambacho inaweza kuwa sio kweli.
Ningeheshimu autumiavyo UKULIMA kisiasa kama angekuwa anautumia kuwa mfano... ...kwa mfano badala ya kutegemea KUNI ajaribu kuwafanya wakulima na wafugaji kuanza kustukia mbolea za wanyama gesi yake ni umeme tosha na pia jikoni unawasha tu na kufaa kupikia na kama aonyeshavyo Mkuu Malkiory kwenye blogu yake mara kwa mara.
Kikubwa kila auingiziavyo ukulima siku hizi nahisi ni kiini macho hasa kutokana na kutoona mchango wake kwa wakulima ambao kwa wafikiriao hawana maisha ya PINDA.:-(
Aksanteni wapemdwa kwa mawazo yenu!! Kaka Kitururu naungana nawe basi kama yeye mtoto wa mkulima anawasaidiaje wakulima wengine hii kama danganya toto!!!!
Duh! Kweli nimeamini hii ni familia ya mkulima.
ReplyDeleteMkulima haswaa!!
ReplyDeleteKinachonitia wasiwasi UKULIMA wa PINDA hautoi changamoto kwa kuelimisha WAKULIMA jinsi ya kuendelea kwa kuwa anautumia kama SIASA kuonesha watu kuwa ni mtu wa kawaida kama Watanzania wengine kitu ambacho inaweza kuwa sio kweli.
ReplyDeleteNingeheshimu autumiavyo UKULIMA kisiasa kama angekuwa anautumia kuwa mfano...
...kwa mfano badala ya kutegemea KUNI ajaribu kuwafanya wakulima na wafugaji kuanza kustukia mbolea za wanyama gesi yake ni umeme tosha na pia jikoni unawasha tu na kufaa kupikia na kama aonyeshavyo Mkuu Malkiory kwenye blogu yake mara kwa mara.
Kikubwa kila auingiziavyo ukulima siku hizi nahisi ni kiini macho hasa kutokana na kutoona mchango wake kwa wakulima ambao kwa wafikiriao hawana maisha ya PINDA.:-(
Ni mtazamo tu!
Aksanteni wapemdwa kwa mawazo yenu!!
ReplyDeleteKaka Kitururu naungana nawe basi kama yeye mtoto wa mkulima anawasaidiaje wakulima wengine hii kama danganya toto!!!!
Danganya toto ....namaliza kula kunde mbichi...
ReplyDeletehahhaaa da Yasinta wewe ulikuwa mchokozi sana utotoni!
ReplyDelete