tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post651652762149865031..comments2023-12-30T03:05:54.487+00:00Comments on Swahili na Waswahili.com: Waswahili na Maisha yao Leo tupo Kenya-Mwai & Beth's Wedding !!!!!!Rachel Siwahttp://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-62691746994832809952012-03-13T16:15:51.911+00:002012-03-13T16:15:51.911+00:00Utamu wa ngoma uingie na ucheze.Maswali hapa ni me...Utamu wa ngoma uingie na ucheze.Maswali hapa ni mengi lakini wenye maswali yao ni majibu yao wanayo kwa wao nao ni wadau katika utamaduni wa mwafrika.ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-71843270303284216922012-03-13T16:08:25.368+00:002012-03-13T16:08:25.368+00:00Teheheheheheheehhhhh yaani Ndugu wa mimi nyie, mme...Teheheheheheheehhhhh yaani Ndugu wa mimi nyie, mmenichekesha kwa maswali yenu pia mmenigusa, yaani kama Mmewaza kwa sauti kama kaka Bandio asemavyo, Duhh nami nasubiri wenye kufahamu zaidi!!!!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-62821425542666327772012-03-13T14:53:50.198+00:002012-03-13T14:53:50.198+00:00emu3! Inawezekana hapo ndo mnogo unakolea..ila mim...emu3! Inawezekana hapo ndo mnogo unakolea..ila mimi huwa najiuliza kwanini sisi waafrika ni wepesi sana kucheza ngoma au Mziki?Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-66147370513975191432012-03-13T11:06:09.832+00:002012-03-13T11:06:09.832+00:00Huwa najiulizaga kwanini ngoma na michezo yetu wat...Huwa najiulizaga kwanini ngoma na michezo yetu watu wakicheza mpaka wainame, angalau kidogo ,ndio mnogo unakolea au nini.....?emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.com