tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post270626003704798819..comments2023-12-30T03:05:54.487+00:00Comments on Swahili na Waswahili.com: Ilikuwaje ulivyopata mtoto wako wa kwanza?Rachel Siwahttp://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-66783039535705008752010-12-21T14:19:45.062+00:002010-12-21T14:19:45.062+00:00haha mapenzi tu da Mija! @Anonymous vipi ulitubu ...haha mapenzi tu da Mija! @Anonymous vipi ulitubu kwa mama ujeuri ulioufanya?hahaah kweli raha ya dunia ni watoto!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-33938952471795647972010-12-21T00:41:14.455+00:002010-12-21T00:41:14.455+00:00Siku zote huwa najua kuwa mama yangu ananipenda, l...Siku zote huwa najua kuwa mama yangu ananipenda, lakini siku hiyo nilijua mama yangu ananipenda kuliko nilivyokuwa nafikiria,yaani mtoto ni zawadi moja nzuri ambayo huwezi kuilinganisha hata na utajiri. I can't explain how i felt that day!Even now i still love my mtoto, ni my comforter. Glory be to GOD!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-82217324825669925602010-12-07T22:14:47.945+00:002010-12-07T22:14:47.945+00:00Nilikuwa nampiga picha kila wakati yaani, wee acha...Nilikuwa nampiga picha kila wakati yaani, wee acha tu, nilikuwa namnunulia makorokoro hadi leo hii najiuliza hivi nilikuwa natumia akili kweli au?<br /><br />Rachel asante kwa kutukumbusha.Mija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-52942891024596478712010-12-07T18:35:12.371+00:002010-12-07T18:35:12.371+00:00Aksanteni wapendwa kwa mawazo yenu!
kaka Kitururu ...Aksanteni wapendwa kwa mawazo yenu!<br />kaka Kitururu si tofauti sana lakini wa kwanza anatia kama kuchanganyikiwa zaidi!<br />Hata mimi nilivyopata nilikuwa siamini amini hivi!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-26507339750986595572010-11-30T09:16:29.840+00:002010-11-30T09:16:29.840+00:00ilikuwa ni furaha ya pekee na pia ilikuwa kama nip...ilikuwa ni furaha ya pekee na pia ilikuwa kama nipo ndotoni kwani nikagundua kuwa sasa nimekuwa mama. Uso kwa uso na kiumbe ambacho nimekitunza miezi tisa na sasa tunakutana....Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-39274897397715501932010-11-30T00:12:40.519+00:002010-11-30T00:12:40.519+00:00Hivi kupata mtoto wa kwanza kuna tofauti sana na k...Hivi kupata mtoto wa kwanza kuna tofauti sana na kupata mtoto wa tatu?Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-38132234767493628852010-11-29T18:35:21.554+00:002010-11-29T18:35:21.554+00:00I likua kama bado niko ndotoni...furaha na raha is...I likua kama bado niko ndotoni...furaha na raha isiyo na mfano ilitawala, kwakweli Mungu na ashukuliwe sanaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-15008090033501571202010-11-29T17:04:27.972+00:002010-11-29T17:04:27.972+00:00Nakumbuka nilikuwa kama nimechanganyikiwa kwa fura...Nakumbuka nilikuwa kama nimechanganyikiwa kwa furaha!! Nilikuwa kazini siku hiyo na wafanyakazi wenzangu walikuwa wakinifurahia na kunipa pongezi...Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/07722344478243372930noreply@blogger.com